ANGALIA LIVE NEWS

Monday, December 16, 2019

SMZ YAAHIDI KUKAMILISHA SHERIA YA DIASPORA KABLA YA MEI 2020

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein akihutubia hadhara ya Diaspora Tanzania (haipo pichani) katika kongamano la sita la diaspora.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Issa Haji Ussi Gavu, akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein kuhutubia kongamano la sita la Diaspora Mwenyekiti wa wanadiaspora, Bwn. Norman Jasson akitoa salamu za wanadiaspora wakati wa kongamano
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein akipokea moja ya bidhaa zinazozalishwa na wajasiriamali wadogo Zanzibar wakati alipotembelea banda la wajasiriamali, kabla ya kufungua rasmi kongamano la sita la Diaspora Tanzania. Kulia kwake ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akifuatiwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, George Simbachawene.
Baadhi ya ujumbe wa Diaspora ukiwa umesimama wakati wa kuimba wimbo wa taifa katika kongamano la sita la Diaspora lililofanyika Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein katikati (mwenye tai ya rangi ya blu bahari) akiwa katika picha ya pamoja na vinongozi waandamizi wa serikali pamoja na baadhi ya ujumbe wa Diaspora mara baada ya kufungua rasmi kongamano la sita la Diaspora Tanzania

No comments: