ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, February 11, 2020

Mkutano wa SADC wa Mawaziri wenye Dhamana ya Menenjimenti ya Maafa

Kaulimbiu ya Mkutano wa Mawaziri wenye Dhamana ya Menejimenti ya Maafa kwa Jumuiya ya SADC, tarehe 18-21, Zanzibar
“Kuwekeza kwenye Kupunguza madhara ya maafa ni njia bora ya kuimarisha ustahimilivu katika ukanda wa n chi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika” (SADC)

No comments: