ANGALIA LIVE NEWS

Friday, February 7, 2020

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI ASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA SHERIA NCHINI ( LAW DAY) . FEBRUARI 06, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia kwenye maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam Februari 6, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia kwenye maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam Februari 6, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipongezwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Mhe. Job Ndugai baada ya hotuba yake kwenye maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam Februari 6, 2020. Kushoto ni Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Mhe. Job Ndugai pamoja na Viongozi wengine wakipiga makofi wakati kwaya ya Mahakama ikitumbuiza kwenye maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam Februari 6, 2020.
Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma akizungumza mbele ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwenye maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam Februari 6, 2020.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Mhe. Job Ndugai akizungumza mbele ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwenye maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam Februari 6, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na, Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma, Spika Job Ndugai ,Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Agustine Mahiga , Jaji Mkuu wa Zanzibar Omary Othuman Makungu, Jaji Kiongozi Dkt. Eliezer Fereshi na Jaji wa Mahakama ya Rufani Mhe. Mbarouk Salum Mbarouk katika picha ya pamoja na Majaji wa Mahakama Kuu kwenye maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam Februari 6, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na, Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma, Spika Job Ndugai ,Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Agustine Mahiga , Jaji Mkuu wa Zanzibar Omary Othuman Makungu, Jaji Kiongozi Dkt. Eliezer Fereshi na Jaji wa Mahakama ya Rufani Mhe. Mbarouk Salum Mbarouk, Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Jaji Francis Mutungi katika picha ya pamoja na Viongozi wa Vyma vya Siasa kwenye maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam Februari 6, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na, Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma, Spika Job Ndugai ,Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Agustine Mahiga , Jaji Mkuu wa Zanzibar Omary Othuman Makungu, Jaji Kiongozi Dkt. Eliezer Fereshi na Jaji wa Mahakama ya Rufani Mhe. Mbarouk Salum Mbarouk katika picha ya pamoja na Mabalozi wanao ziwakilisha nchi mbalimbali hapa nchini kwenye maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam Februari 6, 2020. PICHA NA IKULU.

No comments: