Advertisements

Sunday, March 29, 2020

CelebAfrica EP8 CoronaVirus na jamii yetu.

Karibu CelebAfrica.
Kipindi kinachoonekana Clouds Plus (DSTV 294) kila Jumamosi kuanzia saa 12 jioni _(Afrika Mashariki)_ ambacho kinajikita kwenye kusherehekea ama kuthamini mengi yahusuyo Afrika.
Katika kipindi cha leo tumegusia hali tete iliyopo duniani hivi sasa ya kusambaa kwa maradhi ya Corona yanayosababishwa na virusi vya COVID-19.
Tumeangalia mengi ikiwemo ugonjwa wenyewe, athari zake kwa jamii mbalimbali na hasa Afrika na pia namna ya kukabiliana na maisha katika kipindi hiki ambacho wengi wameamriwa kurejea nyumbani na biashara zikifungwa
Ungana na Patrick Newman na Mubelwa Bandio kwenye kipindi hiki cha leo
_Na usisahau ku-subscribe_


No comments: