Advertisements

Thursday, March 26, 2020

DKT. SHEIN AWATAKA WAZANZIBARI KUACHA UBISHI KWENYE MAPAMBANO DHIDI YA CORONA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar wakati alipotembelea jengo linalotarajiwa kuwa la Uchunguzi wa Virusi Zanzibar, Binguni Wilaya ya Kati Unguja leo.25/3/2020 (kushoto kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohammed na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Afya Zanzibar Dkt. Mayasa Salum Ali.(Picha na Ikulu).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwa na Waziri wa Afya Zanzibar.Mhe. Hamad Rashid Mohammed, akiwa katika viwanja vya Taasisi ya Utafiti wa Afya Zanzibar Binguni Wilaya kati alipotembelea jengo linalotarajiwa kuwa la wa Virusi Zanzibar Binguni Wilaya ya Kati linaloonekana katika picha kwa nyuma
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Afya Zanzibar.Dkt. Mayasa Salum Ali, alipowasili katika viwanja vya Taasisi hiyo Binguni Wilaya ya Kati Unguja kutembelea jengo linalotarajiwa kuwa la Uchunguzi wa Virusi Zanzibar, (kushoto kwa Rais )Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud na Waziri wa Afya Zanzibar. Mhe. Hamad Rashid Mohamed.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika ziara yake kutembelea jengo linalotarajiwa kuwa la Uchunguzi wa Virusi Zanzibar, lililoko katika eneo la Taasisi ya Utafiti wa Afya Zanzibar Binguni Wilaya ya Kati Unguja akielekea katika jengo hilo(kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja.Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar. Mhe. Hamad Rashid Mohamme.(Picha na Ikulu).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisisitiza jambo wakati alipotembelea jengo linalotarajiwa kuwa la Uchunguzi wa Virusi Zanzibar, Binguni Wilaya ya Kati Unguja, (kushoto kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar. Mhe Hamad Rashid Mohammed, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Afya Zanzibar.Dkt. Mayasac Salum Ali na Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee.(Picha na Ikulu).

No comments: