Advertisements

Friday, March 27, 2020

RAIS MAGUFULI APOKEA RIPOTI ZA CAG NA TAKUKURU ZA MWAKA 2019/2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameshika Taarifa ya Mwaka 2018/2019 ya CAG pamoja na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi mara baada ya kuwakabidhi pamoja na Taarifa ya TAKUKURU kwa ajili ya kuzifanyia kazi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanz
ania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Ripoti ya Mwaka 2018-2019 kutoka kwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG Charles Kichere katika hafla fupi iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 26/03/2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Ripoti ya Mwaka 2018-2019 kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa TAKUKURU Brigedia Jenerali John Mbungo katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisoma Muhtasari wa Taarifa ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG ya Mwaka 2018-2019 iliyokuwa ikiwasilishwa na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG Charles Kichere katika hafla fupi iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 26/03/2020

No comments: