Thursday, April 2, 2020

Makala Ya Tatu Kuhusu Corona. Mjadala Wa Madaktari WaTanzania Katika Diaspora Wanaotibu Wagonjwa Hao


Karibu kwenye makala hii ya tatu ambayo DICOTA, pamoja na TUHEDA, iliratibu majadiliano na Madaktari WaTZ walio mstari wa mbele kukabiliana na janga la COVID-19 toka UK, Canada na USA.
Walioshiriki ni
- Dr. Gideon Mlawa, London UK
- Dr. Donatus Mutasingwa - Toronto, Canada
- Dr. Nasibu Mwande - Carlisle, UK
- Dr. Kurwa Nyigu - Virginia, USA
- Dr. Hamza Hassan - London, UK
- Moderator: Dr. Frank Minja - Connecticut, USA

No comments: