ANGALIA LIVE NEWS

Friday, July 24, 2020

MWENYEKITI TUME YA UCHAGUZI AFUNGUA KIKAO KAZI NA WASIMAMIZI WA UCHAGUZI NCHINI

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Mh. Jaji Rufaa (Mst), Semistocles Kaijage akizungumza wakati wa ufunguzi wa kikao kazi na Wasimamizi wa Uchaguzi kilichofanyika leo Julai 24,2020 Jijini Dodoma. Wasimamizi hao ni kutoka Halmashauri zote za Tanzania Bara. (Picha na NEC).
Wasimamizi wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 wakimsikiliza Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Mh. Jaji Rufaa (Mst), Semistocles Kaijage (hayupo pichani) wakati wa ufunguzi wa kikao kazi cha wasimamizi wa uchaguzi nchini, iliyofanyika Jijini Dodoma leo Julai 24,2020 . (Picha na NEC).

No comments: