Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bi. Mriam Perla Mbaga kuwa Katibu Tawala wa mkoa wa Simiyu kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Dodoma Julai 6, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha baada ya kumthibitisha Bw. James Kaji kuwa Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Udhibiti wa Dawa za Kulevya nchini (DCEA) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha wa Polisi Thobias Emir Andengenye kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea baada ya kuwaapisha viongozi mbalimbali aliowateua kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Marco Gaguti akimuapisha Kanali Mathias Kahabi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Biharamulo kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akishuhudia Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Loatha Ole Sanare
akimuapisha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza (SACP) Ismail
Twahir Mlawa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mvomero kwenye hafla
iliyofanyika Ikulu Chamwino Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia Mkuu wa Mkoa wa Pwani akimuapisha Mhandisi Martine Ntemo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kibaha kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Dodoma Julai 6, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea mara baada ya kuwaapisha viongozi aliowateuwa katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiondoka sehemu ya tukio baada ya kuwaapisha viongozi aliowateuwa katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment