Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiweka udongo kwenye kaburi la Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Marehemu
Benjamin William Mkapa katika Mazishi yaliyofanyika katika Kijiji cha
Lupaso Masasi Mkoani Mtwara.
Rais
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia Mjane wa Rais Mstaafu
wa Awamu ya Tatu Marehemu Benjamin William Mkapa Mama Anna Mkapa akiweka
udongo kwenye kaburi la Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Marehemu Benjamin
William Mkapa katika Mazishi yaliyofanyika katika Kijiji cha Lupaso
Masasi Mkoani Mtwara.
Wanajeshi
wa JWTZ wakiwa wamebeba Jeneza lenye Mwili wa Rais Mstaafu wa Awamu ya
Tatu Marehemu Benjamin William Mkapa kuelekea eneo la Makaburi kwa ajili
ya Mazishi yaliyofanyika katika Kijiji cha Lupaso Masasi Mkoani Mtwara.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na Viongozi mbalimbali pamoja Wananchi wa Lupaso
waliohudhuria katika Mazishi hayo ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu
Marehemu Benjamin William Mkapa Lupaso Masasi mkoani Mtwara.
Mabregedia
Jenerali wa JWTZ wakishuhudia Jeneza lenye Mwili wa Rais Mstaafu wa
Awamu ya Tatu Marehemu Benjamin William Mkapa likishushwa kaburini
Lupaso Masasi mkoani Mtwara.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mjane wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Marehemu Benjamin William Mkapa, Mama Anna Mkapa wakati wakielekea kuweka Udongo kwenye Kaburi la Marehemu Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa Kijijini Lupaso Masasi mkoani Mtwara. PICHA NA IKULU.

No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake