Tuesday, July 28, 2020

RAIS MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AWASILI MKOANI MTWARA KWA AJILI YA KUHUDHURIA MAZISHI YA RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA TATU MAREHEMU BENJAMIN WILLIAM MKAPA AMBAYE ATAZIKWA KESHO LUPASO MASASI MKOANI MTWARA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika uwanja wa ndege wa Mtwara mkoani Mtwara kwa ajili ya kushiriki Mazishi ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa ambayo yatafanyika hapo kesho kijijini kwao Lupaso Masasi mkoani Mtwara.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake