Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wananchi kupitia Redio Jamii Kati FM katika Kijiji cha Binguni Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo Agosti 12,2020 Baada ya kuzindua rasmi Mradi wa Redio hiyo na Mradi wa Kimataifa wa Maendeleo ya Habari kupinga Ukatili Dhidi ya Wanawake na Wasichana (IPDC) wa UNESCO katika kijiji cha Binguni Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiondoa Kitambaa kuzindua rasmi Mradi wa Redio Jamii Kati FM na Mradi wa Kimataifa wa Maendeleo ya Habari kupinga Ukatili Dhidi ya Wanawake na Wasichana (IPDC) wa UNESCO katika kijiji cha Binguni Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo Agosti 12,2020.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Viongozi, watendaji na Wananchi mbalimbali katika Hafla ya Ufunguzi wa Redio Jamii Kati FM na Uzinduzi wa Mradi wa Kimataifa wa Maendeleo ya Habari kupinga Ukatili Dhidi ya Wanawake na Wasichana (IPDC) wa UNESCO katika kijiji cha Binguni Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo Agosti 12,2020.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akionesha Tuzo aliyozawadiwa na Baraza la Vijana Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja baada ya kuzindu Kituo cha Redio Jamii Kati FM katika Kijiji cha Binguni na Mradi wa Kimataifa wa Maendeleo ya Habari kupinga Ukatili Dhidi ya Wanawake na Wasichana (IPDC) wa UNESCO katika kijiji cha Binguni Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo Agosti 12,2020. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiangalia Mboga aina ya Kisamvu inayotengenezwa na Wajasiriamali wa Mkoa wa Kusini Unguja Wakati wa Uzinduzi wa Kituo cha Redio Jamii Kati FM katika Kijiji cha Binguni Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja na Mradi wa Kimataifa wa Maendeleo ya Habari kupinga Ukatili Dhidi ya Wanawake na Wasichana (IPDC) wa UNESCO katika kijiji cha Binguni Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo Agosti 12,2020.
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).
No comments:
Post a Comment