Monday, August 3, 2020

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA ASHIRIKI KATIKA TAMASHA LA NGUVU YA MWANAMKE

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Wanawake Vijana kwenye Kongamano la Tamasha la nguvu ya Mwanamke (GIRL POWER) mwaka 2020 lililofanyika leo Agost 02, 2020 katika ukumbi wa mikutano wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam.
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake