Sunday, August 9, 2020

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AWASISITIZA WATANZANIA KUTOKUACHA KUFANYA MAZOEZI

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo Agosti 09,2020 ameendelea kufanya Mazoezi ya kutembea masafa ya Kilomita nne yaliyoanzia kwenye Makazi yake mtaa wa Farahani Kilimani jijini Dodoma ambapo amesisitiza kwa Watanzania kutokuacha kufanya mazoezi kwani mazoezi ni muhimu kwa Afya. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake