Sunday, September 20, 2020

DKT.MAGUFULI AMPOKEA MGENI WAKE RAIS WA BURUNDI EVARISTE NDAYISHIMIYE MKOANI KIGOMA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea na kumkaribisha mgeni wake Rais wa Burundi Mheshimiwa Evariste Ndayishimiye mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesimama na mgeni wake Rais wa Burundi Mheshimiwa Evariste Ndayishimiye wakati wa heshma za nyimbo za Mataifa mawili zikipigwa katika uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma

Rais wa Burundi Mheshimiwa Evariste Ndayishimiye akikagua Gwaride la Heshma liliondaliwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ katika uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na mgeni wake Rais wa Burundi Mheshimiwa Evariste Ndayishimiye wakati akimtambulisha kwa baadhi ya Mawaziri wa Tanzania katika uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi waliofika kumpokea Rais wa Burundi Mheshimiwa Evariste Ndayishimiye katika uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma.
Rais wa Burundi Mheshimiwa Evariste Ndayishimiye akizungumza na Wananchi katika uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na mgeni wake Rais wa Burundi Mheshimiwa Evariste Ndayishimiye mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Mahakama Kuu Kanda ya Kigoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Burundi Mheshimiwa Evariste Ndayishimiye wakifungua kwa pamoja jengo la Mahakama Kuu Kanda ya Kigoma leo tarehe 19 Septemba 2020. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake