Tuesday, September 15, 2020

MHE.SAMIA SULUHU ASALIMIANA NA WANANCHI WA KIJIJI CHA MCHOMORO NANTUMBO

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi wa kijiji cha Mchomoro Nantumbo alipokuwa njiani akielekea Nantumbo Mjini kwa ajili ya kuhutubia mkutano ya Kampeni ya Chama cha Mapinduzi CCM leo Septemba 14,2020. Makamu wa Rais ameanza ziara rasmi ya kampeni Mkoani Ruvuma. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake