Wednesday, September 23, 2020

RAIS DK. MAGUFULI AWAHUTUBIA WANANCHI WA ITIGI MKOANI SINGIDA

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) na Mwenyekiti wa chama hicho Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi kwenye mkutano wa kampeni leo Jumatatu Septemba 21, 2020 mjini Itiga wilayani Manyoni mkoani Singida katika uwanja wa Polisi Square kabla ya kuelekea mkoani Dodoma.

(PICHA NA JOHN BUKUKU-ITIGI SINGIDA)
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) na Mwenyekiti wa chama hicho Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisisitiza jambo wakati akihutubia wananchi kwenye mkutano wa kampeni leo Jumatatu Septemba 21, 2020 mjini Itiga wilayani Manyoni mkoani Singida katika uwanja wa Polisi Square kabla ya kuelekea mkoani Dodoma.
Kutoka kulia ni Naibu Katibu Mkuu Bara Chamacha Mapinduzi CCM Ndugu Rodrick Mpogolo, Mgombea Ubunge jimbo la Iramba Dk.Mwigulu Nchemba, Juma Kilimba Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida na mgombea ubunge jimbo la Ikungi Miraji Mtaturu. 
Juma Kilimba Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida akimkaribisha mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Juma Kilimba.
Katikati ni Edward Mpogoli Mkuuwa wilaya ya Ikungi na baadhi ya viongozi wa CCM wakiwa katika mkutano huo.
Baadhi ya viongozi wa dini wakiwakatika mkutano huo.
Picha mbalimbali zikionesha viongozi wa chama cha Mapinduzi na wagombea udiwani kupitia CCM wakiwa katika mkutano huo.
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Ndugu Humphrey Polepole akitoa ratiba katika mkutano huo.
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) na Mwenyekiti wa chama hicho Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameketi jukwaa kuu kabla ya kuhutubia wananchi wa Itigi.
Picha mbalimbali zikionesha maelfu ya wananchi waliojitokeza kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Polisi Square mjini Itigi mkoani Singida.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake