Tuesday, September 29, 2020

RAIS DK. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA IFUNDA AKIWA NJIANI KUELEKEA MKOANI MBEYA

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) na Mwenyekiti wa chama Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Ifunda mkoani Iringa wakati akiwa njiani kuelekea mkoani Mbeya leo Jumanne Septemba 29, 2020.

picha zikionesha wananchi mbalimbali wakimlaki Rais Dk John Pombe Magufuli katika mji wa Ifunda
Mgombea Ubunge jimbo la Iringa mjini Jesca Mtambasavangu na Mgombea ubunge jimbo la Isimani Wiliam Lukuvi wakiwa katika mkutano huo
Mgombea Ubunge jimbo la Kalenga Ndugu Kiswaga akuomba kura

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake