Thursday, September 24, 2020

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AHUTUBIA TAMASHA LA 56 LA ELIMU BILA MALIPO ZANZIBAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akihutubia katika hafla ya
Maadhimisho ya Tamasha la 56 la Elimu Bila Malipo Zanzibar lililofanyika
katika Uwanja wa mpira wa Mao Tse Tung Jijini Zanzibar, baada ya kupokea
maandamani ya Wanafunzi wa Skuli za Unguja na Pemba.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.
Ali Mohamed Shein akizungumza jambo na Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi, wakiwa katika hafla ya Maadhimisho ya
Tamasha la 56 la Elimu Bila ya Malipo Zanzibar, lililofanyika katika
uwanja wa Mao Tse Tung Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya
Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe, wakati wa hafla ya Maadhimisho ya
Tamasha la 56 la Elimu Bila Malipo lililofanyika katika Uwanja wa Mao
Tse Tung Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
KATIBU Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar
Dkt.Eng. Idriss Muslim Hijja, akizungumza wakati wa hafla hiyo ya
Maadhimisho ya Tamasha la 56 la Elimu Bila Malipo Zanzibar lililofanyika
katika Uwanja wa Mao Tse Tung Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.
Ali Mohamed Shein. akiwapungia mkono Wanafunzi wanaoshiriki katika
maandamano ya kuadhimisha Tamasha la 56 la Elimu Bila Malipo
lililofanyika katika Uwanja wa Mao Tse Tung Jijini Zanzibar na (kulia
kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi
na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.
Riziki Pembe.(Picha na Ikulu)
VIONGOZI wa Serikali na Chama wakifuatilia hutuba ya
Maadhimisho ya Tamasha la 56 la Elimu Bila Malipo Zanzibar, wakati Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed
Shein, (hayupo pichani) akihutubia katika viwanja vya Mao Tse Tung
Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
WANAFUNZI wa Skuli mbalimbali za Unguja na Pemba wakiwa katika
Uwanja wa Mao Tse Tung Jijini Zanzibar wakifuatilia hutuba ya mgeni
rasmin wakati wa Maadhimisho ya Tamasha la 56 la Elimu Bila Malipo
lililofanyika katika leo 23/9/2020, wakati Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, (hayupo
pichani) akihutubia tamasha hilo.(Picha na Ikulu)
WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe
akizungumza katika hafla ya Maadhimisho ya Tamasha la 56 la Elimu Bila
Malipo Zanzibar lililofanyika katika Uwanja wa Mao Tse Tung Jijini
Zanzibar.(Picha na Ikulu)
WANAFUNZI wa Skuli za Unguja na Pemba wakimsikiliza mgeni
rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.
Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) akihutubia katika maadhimisho ya
Tamasha la 56 la Elimu Bila Malipo Zanzibar lililofanyika katika uwanja
wa Mao Tse Tung Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
WANAFUNZI wa Skuli za Sekondari wa Unguja na Pemba
wakishangilia wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Tamasha la 56 la Elimu
Bila Malipo Zanzibar lililofanyika katika Uwanja wa Mao Tse Tung Jijini
Zanzibar.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake