Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amewahakikishia wananchi kuwa uchaguzi mkuu utafanyika katika hali ya amani na utulivu bila kuwa na tatizo lolote licha ya baadhi ya vyama vya siasa kuwa na ajenda za kutaka kufanya vurugu ili uchaguzi huo usifanyika.
IGP Sirro amesema hayo leo akiwa Tarime mkoani Mara wakati akizungumza na wadau mbalimbali wa uchaguzi wakiwemo wagombea wa nafasi mbalimbali katika uchaguzi mkuu.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake