Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wananchi wa Kijiji cha Ipole Sikonge Njia panda kutoka Sikonge kwenda Mpanda alipokuwa njiani akielekea Wilaya ya Mpanda Mkoani Katavi kwa ajili ya kuanza ziara ya kampeni za CCM Mkoa wa Katavi leo Octoba 05,2020.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi, Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Wilaya ya Mlele alipowasili katika Uwanja wa Shule ya Msingi Inyonga Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi kwa ajili ya kuhutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo Octoba 05,2020.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimkabidhi Kitabu cha Ilani ya utekelezaji wa Uchaguzi ya CCM 2020/25 Mbunge Mteule wa Jimbo la Inyonga Mhe. Isack Kamwelwe kwa ajili ya kuinadi kwenye mikutano ya Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika mkutano uliofanyika leo Octoba 05,2020 katika uwanja wa Shule ya Msingi Inyonga Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi leo Octoba 05,2020.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika uwanja wa Shule ya Msingi Inyonga Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi leo Octoba 05,2020. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake