Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Malawi Dkt. Lazarus MacCarthy Chakwera katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam baada ya
kuhitimisha ziara yake ya kitaifa ya siku tatu nchini leo Alhamisi Oktoba 8, 20202.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Malawi Dkt. Lazarus MacCarthy Chakwera katika Uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam baada ya kuhitimisha ziara yake ya kitaifa ya siku tatu nchini leo Alhamisi Oktoba 8, 20202. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ni mkewe Mama Janeth Magufuli wakiagana na Rais wa Jamhuri ya Malawi Dkt. Lazarus MacCarthy Chakwera na mkewe Mama Monica Chakwera katika Uwanja wa\Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam baada ya kuhitimisha ziara yake ya kitaifa ya siku tatu nchini leo Alhamisi Oktoba 8, 20202.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Malawi Dkt. Lazarus MacCarthy Chakwera anayewapungia mkono Wamalawi wanaoishi Tanzania waliojitokeza kumuaga katika Uwanja
wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam baada ya kuhitimisha ziara yake ya kitaifa ya siku tatu nchini leo Alhamisi Oktoba 8, 20202.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akiwashukuru Balozi wa Tanzania nchini Malawi Mhe. Ben
Mashiba na Balozi wa Malawi nchini Tanzania Mhe. Chembe Muthali baada ya kumsindikiza Rais wa Jamhuri ya Malawi Dkt. Lazarus MacCarthy Chakwera katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam baada ya kuhitimisha ziara yake ya kitaifa ya siku tatu nchini leo Alhamisi Oktoba 8, 20202.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakipunga mikonu kuwaaga Rais wa Jamhuri ya Malawi Dkt. Lazarus MacCarthy Chakwera na mkewe Mama Monica Chakwera wakati wakiondoka katika Uwanja wa\Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam baada ya kuhitimisha ziara yake ya kitaifa ya siku tatu nchini leo Alhamisi Oktoba 8, 20202.
No comments:
Post a Comment