Thursday, October 8, 2020

RAIS DKT.MAGUFULI NA MGENI WAKE RAIS WA MALAWI DKT.CHAKWERA WAWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA STENDI YA MABASI MBEZI LUIS JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Malawi Mheshimiwa
Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wakifunua bendera za mataifa ya Kama ishara ya uwekaji wa jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa kituo kikuu cha mabasi ya mikoani na nchi jirani Mbezi jijini Dar es salaam leo Alhamisi Oktoba 8, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Malawi Mheshimiwa
Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wakiwa wamesimama jukwaa kuu Mara baada ya kuwasili kwenye mradi wa ujenzi wa kituo kikuu cha mabasi ya mikoani na nchi jirani Mbezi jijini Dar es salaam kw aajiki ya uwekaji wa jiwe la msingi leusiku wa Alhamisi Oktoba 8, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Malawi Mheshimiwa
Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wakipongezana Mara baada ya uwekaji wa jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa kituo kikuu cha mabasi ya mikoani na nchi jirani Mbezi jijini Dar es salaam leo Alhamisi Oktoba 8, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Malawi Mheshimiwa Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wakisoma maelezo yaliyoko kwenye jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa kituo kikuu cha mabasi ya mikoani na nchi jirani Mbezi jijini Dar es salaam leo Alhamisi Oktoba 8, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Malawi Mheshimiwa
Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wakitembelea mradi huo uliowekwa jiwe la msingi na viongozi hao leo Alhamisi Oktoba 8, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Malawi Mheshimiwa
Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wakifurahia Mara baada ya kuweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa kituo kikuu cha mabasi ya mikoani na nchi jirani Mbezi jijini Dar es salaam leo Alhamisi Oktoba 8, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wazri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Paramagamba Kabudi Mara baada ya kuweka jiwe la msingi katika mradi huo katikati ni Mama Janeth Magufuli na kutoka kulia ni Abukakary Kunenge Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam na Balozi John Kijazi Katibu Mkuu Kiongozi baadhi ya mawaziri leo Alhamisi Oktoba 8, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Malawi Mheshimiwa Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wakikagua mradi huo Mara baada ya kuweka leo Alhamisi Oktoba 8, 2020.
Michoro mbalimbali ikionesha jinsi jengo hilo litakavyokuwa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza kwenye mradi wa ujenzi wa kituo kikuu cha mabasi ya mikoani na nchi jirani Mbezi jijini Dar es salaam kabla ya uwekaji wa jiwe la msingi leo Alhamisi Oktoba 8, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Malawi Mheshimiwa
Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera Akizungumza akabla ya kuweka jiwe la msingi kwenye mradi kituo cha mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani Mbezi jijini Dar es salaam leo Alhamisi Oktoba 8, 2020.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake