Tuesday, October 6, 2020

RAIS MHE.DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AMEPOKEA HATI ZA UTAMBULISHO WA MABALOZI 3 WALIOTEULIWA KUZIWAKILISHA NCHI ZAO HAPA NCHINI

 
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli leo amepokea Hati za utambulisho wa Mabalozi wa Uingereza ,Uswizi na Pakistan, Pichani mhe.Rais John Pombe Magufuli na Balozi David William Conca Balozi wa Uingereza nchini wakiwa katika picha mbalimbali wakati wa kuwasilisha hati hizo Ikulu Dar es salaam leo

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake