Tuesday, October 13, 2020

RAIS MHE.DKT.MAGUFULI AUNGURUMA VIWANJA VYA BARAFU MBURAHATI JIJINI DAR ES SALAAM

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Rais Dk. John Pombe Magufuli akiwahutubia maelfu wananchi wa Jimbo la Ubungo waliohudhuria kwa wingi pamoja na mvua kubwa ikiyonyesha katika mkutano uliofanyika Mburahati Viwanja vya Barafu jijini Dar es Salaam leo Jumanne Oktoba 13,2020.

(PICHA NA JOHN BUKUKU-UBUNGO)Rais Dk. John Pombe Magufuli akiwaapisha wagombea wa Udiwani kupitia Chama cha Mapinduzi CCM wakati akiwaombea kura kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika Jimbo la Ubungo katika viwanja vya Barafu Mburahati jijini Dar es salaam leo Jumanne Oktoba 13 ,2020.
Baadhi ya wakuu wa wilaya na wakurugenzi wa mashirika wakiwa katika mkutano huo uliofanyika leo viwanja vya Barafu Mburahati jijini Dar es Salaam.Baadhi ya viongozi wa Chama cha Mapinduzi wakiwa katika mkutano huo
Mgombea ubunge wa Jimbo la Ubungo kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Ndg. Kitila Mkumbo akumombea kura Rais Dk.John Pombe Magufuli katika mkutano uliofanyika viwanja vya Barafu Mburahati Jijini Dar es Salaam. Baadhi ya viongozi wa dini waliohudhuria katika mkutano huo uliofanyika leo Jumanne Oktoba 13,2020 viwanja vya Barafu Mburahati jijini Dar es salaam Picha mbalimbali zikionesha wananchi mbalimbali waliojitokeza kwenye mkutano wa kampeni wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kupitia CCM Rais Dk. John Pombe Magufuli kwenye viwanja vya Barafu Mburahati jijini Dar es Salaam leo Jumanne Oktoba 13,2020. Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es salaam Mama Kate Kamba wakati alipokuwa akimkaribisha ili kuwahutubia wananchi hao. 

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake