Sunday, November 1, 2020

KIKOSI CHA YANGA SC CHAZURU KABURI LA MWALIMU NYERERE NA KUMKABIDHI JEZI MAMA MARIA

Mwenyekiti wa Yanga SC, Dk Mshindo Msolla akimkabidhi jezi ya klabu hiyo, Mama Maria Nyerere, mjane wa baba taifa, marehemu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere leo kijijini Mwitongo, Butiama mkoani Mara.
Wachezaji wa Yanga SC wakipewa maelezo kuhusu eneo la Mwitongo, Butiama mkoani Mara
Wachezaji wa Yanga SC wakiwa katika picha ya pamoja na mjane wa marehemu Mwalimu Nyerere, Mama Maria Nyerere leo Butiama

No comments: