Thursday, November 26, 2020

WAZIRI WA NCHI AFISI YA RAIS KATIBA SHERIA UTUMISHI NA UTAWALA BORA MHE. HAROUN ALI SULEIMAN AKIKABIDHIWA NYAKAKA ZA KAZI NA WAZIRI MSTAAF WA ORMBLM MHE. ISSA HAHI GAVU.

WAZIRI Mstaafu iliyokuwa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Gavu akizungumza wakati
wa hafla ya kukabidhi Nyaraka za Kazi kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais
Katiba Sheria Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe Haroun Ali Suleiman
(hayupo pichani) hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Wizara hiyo
Mazizini Jijini Zanzibar leo 26/11/2020.(Picha na Ikulu)
WAZIRI wa Nchi Afisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi na Utawala
Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman akisaini hati ya makabidhiano 
ya Nyaraka za Kazi baada ya kukabidhiwa na Waziri Mstaaf iliokuwa
Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Issa Haji Gavu (kulia kwake) hafla hiyo ya makabidhiano imefanyika
katika ukumbi wa Wizara hiyo Mazizini Jijini Zanzibar leo
26/11/2020.(Picha na Ikulu)
WAZIRI wa Nchi Afisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi na
Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman akikabidhiwa Nyaraka za
Kazi na Waziri Mstaaf iliyokuwa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Gavu (kulia kwake)
hafla hiyo ya makabidhiano imefanyika katika ukumbi wa Wizara hiyo
Mazizini Jijini Zanzibar leo 26/11/2020.(Picha na Ikulu) WAZIRI wa Nchi Afisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi na Utawala
Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman akizungumza na kutowa shukrani
kwa Waziri Mstaaf Mhe Issa Haji Gavu na Watendaji wakati wa hafla ya
makabidhiano ya Nyaraka za Kazi zilizofanyika katika ukumbi wa Wizara
hiyo Mazizini Jijini Zanzibar leo 26/11/2020.(Picha na Ikulu) WAZIRI wa Nchi Afisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi
na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman na ( kulia kwake)
Waziri Mstaaf Mhe.Issa Haji Gavu wakiitikia dua baada ya kumalizika kwa
makabidhiano ya Nyaraka za Kazi, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa
Wizara hiyo Mazizini Jijini Zanzibar.Tr.26/11/2020.(Picha na Ikulu)

No comments: