Friday, December 11, 2020

MWINYI AZUNGUMZA NA UONGOZI WA NMB UKIONGOZWA NA AFISA MTENDAJI MKUU WA NMB.BI. RUTH ZAIPUNA IKULU LEO

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.
Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bi.
Ruth Zaipuna alipofika ikulu na Ujumbe wake (kulia) Afisa Mkuu Wateja
Binafsi na Biashara Ndg. Fillbert Mponzi na Afisa Mkuu Wateja Wakubwa na
Serikali wa NMB Ndg. Alfred Shao, mazungumzo hayo yaliofanyika katika
ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 10/12/2020.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Kadi yake ya ATM na Afisa
Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bi. Ruth Zaipuna, baada ya kumaliza
mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo
10/12/2020.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki
ya NMB Bi.Ruth Zaipuna alipowasili katika ukumbi wa Ikulu Jijini
Zanzibar kwa ajili ya mazungumzo na kumpongeza akiwa na Ujumbe wake
(kulia) mazungumzo hayo yamefanyika leo 10/12/2020.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiagana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya
NMB Bi.Ruth Zaipuna na Ujumbe wake wa Maafisa wa Vitengo mbalimbali vya
Benki ya NMB, baada ya kumalizika mazungumzo yao yaliofanyika katika
ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 10/12/2020.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake