Friday, December 18, 2020

PITAPITA YA VIJIMAMBO NDANI YA JIJI LA LOS ANGELES, CA



Pitapita ya Vijimamboblog ndani ya Los Angeles, California. Hapa ni NY Ebra akiwa nyumbani kwa  Mayor wa L.A Bwana Hajji Jingo wakipata kifungua kinywa mubasharah kabisa .
Ni smile za afya tele ni jambo la kumshukuru mungu kwa kuwa na smile hizi zenye bashasha ukizingatia Corona imetuzunguka kila kona hakika mungu ni mwema wakati wote.


No comments: