Sunday, December 6, 2020

RAIS WA ZANZIBAR DK. HUSSEIN ALI MWINYI MGENI RASMIN TAARAB YA KUMPONGEZA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.
Hussein Ali Mwinyi akisalimia Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bi.Ruth Zaipuna alipowasili katika viwanja vya ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar kuhudhuria Taarab ya kumpongeza iliofanyika jana usiki 5/12/2020 na (kushoto kwa Rais) Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Zuberi Ali Maulid.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.
Hussein Ali Mwinyi akifuatilia Taarab maalum ilioandaliwa na Benki ya NMB kwa ajil ya kumpongeza, iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar na (kulia kwa Rais) Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid, Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bi.Ruth Zaipuna na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi, wakifuatilia hafla hiyo ya Taarab Maalum iliofanyika jana usiku
5/12/2020.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.
Hussein Ali Mwinyi akifuatilia Taarab maalum ilioandaliwa na Benki ya NMB kwa ajil ya kumpongeza Rais iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar, na (kushoto kwa Rais ) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na (kulia kwa Rais) Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid, Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bi.Ruth Zaipuna na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi, wakifuatilia hafla hiyo ya Taarab
Maalum ilifanyika jana usiku 5/12/2020.(Picha na Ikulu)=
BAADHI ya Mawaziri, Viongozi wa Chama na Wananchi
wakimsikiliza Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bi. Ruth Zaipuna akitowa Salamu za NMB na kumpongeza Rais wa Zanzibar kwa ushindi wake katika uchaguzi Mkuu wa Zanzibar, wakati wa hafla ya Taarab Maalum iliandaliwa na Benki ya NMB katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar jana usiku 5/12/2020.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.
Hussein Ali Mwinyi akilimsikiliza Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bi. Ruth Zaipuna akizungumza na kutowa salamu za pongezi kwa Rais wa Zanzibar kwa ushindi wake katika uchaguzi mkuu wa Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman na (kulia kwa Rais) Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi, hafla hiyo ya Taarab rasmin iliofanyika jana usiku 5/12/2020 katika ukumbi wa Sheikh
Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwaryam Mwinyi na (kushoto kwake) Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bi. Ruth Zaipuna wakijumuika katika Taarab Maalum ya kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani ) wakijumuika na Wananchi katika hafla hiyo wakati Msanii wa Kikundi cha Zanzibar Big
Star Tahir Khamis akiimba wimbo wa “ Warewarew CCM” katika hafla hiyo iliofanyika jana usku 5/12/2020 katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakiul Kikwajuni Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
BAADHI ya Wananchi wa Zanzibar wakishiriki katika hafla ya
Taarab Maalum ya kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Mwinyi (hayupo pichani) wakijumuika katika taarab huiyo wakati Kikundi cha Culture kikitowa burudani kwa wimbo wake “Mpewa hapokonyeki” ikiimbwa na Msanii Bi.Mgeni Khamis, iliofanyika
katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar jana usiku 5/12/2020.(Picha na Ikulu)
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi akiwa na Afisa
Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bi. Ruth Zaipuna (kushoto kwake ) na Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mhe Asha Abdalla Juma (kulia kwake) wakienda kutunza katika hafla ya Taarab rasmin ya kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo
pichani) iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar jana usiku 5/12/2020.(Picha na Ikulu )

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake