ANGALIA LIVE NEWS

Monday, December 7, 2020

Uzinduzi wa mafunzo ya Mfumo wa Kuhifadhi Taarifa za Wajumbe wa Bodi za Taasisi na Mashirika ya Umma yaliyoanza leo katika Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine (SUA), Morogoro.

Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu katika Ofisi ya Msajili wa Hazina, Pili Mazowea akimkaribisha Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais –Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt Laurean Ndumbaro wakati wa uzinduzi wa mafunzo ya Mfumo wa Kuhifadhi Taarifa za Wajumbe wa Bodi za Taasisi na Mashirika ya Umma yaliyoanza leo katika Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine (SUA), Morogoro. Katikati yao ni Msajili wa Hazina, Athumani Mbuttuka. Mafunzo hayo yanashirikisha zaidi ya washiriki 700 kutoka taasisi 236 zinazosimamiwa na Ofisi ya Msajili wa Hazina.

(Picha na Ofisi ya Msajili wa Hazina)
Mwezeshaji katika mafunzo ya Mfumo wa Kuhifadhi Taarifa za Wajumbe wa Bodi za Taasisi na Mashirika ya Umma, Felix Ngoi akitoa mada wakati wa uzinduzi wa hayo yaliyoandaliwa na Ofisi ya Msajili wa Hazina na kuzinduliwa leo katika Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine (SUA), Morogoro. Mafunzo hayo yanashirikisha zaidi ya washiriki 700 kutoka taasisi 236 zinazosimamiwa na Ofisi ya Msajili wa Hazina.

(Picha na Ofisi ya Msajili wa Hazina).
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais –Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt Laurean Ndumbaro akijibu maswali ya washiriki wa mafunzo ya Mfumo wa Kuhifadhi Taarifa za Wajumbe wa Bodi za Taasisi na Mashirika ya Umma yaliyoandaliwa na Ofisi ya Msajili wa Hazina na kuzinduliwa leo na Dkt Ndumbaro katika Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine (SUA), Morogoro. Kulia ni Msajili wa Hazina, Athumani Mbuttuka na kushoto ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu katika Ofisi ya Msajili wa Hazina, Pili Mazowea. Mafunzo hayo yanashirikisha zaidi ya washiriki 700 kutoka taasisi 236 zinazosimamiwa na Ofisi ya Msajili wa Hazina.

(Picha na Ofisi ya Msajili wa Hazina)
Washiriki wa mafunzo ya Mfumo wa Kuhifadhi Taarifa za Wajumbe wa Bodi za Taasisi na Mashirika ya Umma wakifuatilia mafunzo hayo yaliyozinduliwa na Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais –Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt Laurean Ndumbaro leo katika Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine (SUA), Morogoro. Mafunzo hayo yaliyoandaliwa na Ofisi ya Msajili wa Hazina yanashirikisha zaidi ya washiriki 700 kutoka taasisi 236 zinazosimamiwa na Ofisi ya Msajili wa Hazina.

(Picha na Ofisi ya Msajili wa Hazina).
Mkurugenzi wa Huduma za Kimenejimenti katika Ofisi ya Msajili wa Hazina, Neema Musomba akitoa muhtasari wa mafunzo ya Mfumo wa Kuhifadhi Taarifa za Wajumbe wa Bodi za Taasisi na Mashirika ya Umma yaliyozinduliwa na Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais –Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt Laurean Ndumbaro, leo katika Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine (SUA), Morogoro. Mafunzo hayo yanashirikisha zaidi ya washiriki 700 kutoka taasisi 236 zinazosimamiwa na Ofisi ya Msajili wa Hazina.

(Picha na Ofisi ya Msajili wa Hazina)
Mwezeshaji katika mafunzo ya Mfumo wa Kuhifadhi Taarifa za Wajumbe wa Bodi za Taasisi na Mashirika ya Umma, Ntimi Malambugi akitoa mada wakati wa uzinduzi wa hayo yaliyoandaliwa na Ofisi ya Msajili wa Hazina na kuzinduliwa leo katika Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine (SUA), Morogoro. Mafunzo hayo yanashirikisha zaidi ya washiriki 700 kutoka taasisi 236 zinazosimamiwa na Ofisi ya Msajili wa Hazina.

(Picha na Ofisi ya Msajili wa Hazina).

No comments: