Thursday, February 4, 2021

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK. MWINYI ASHUDHUDIA UTIAJI WA SAINI YA MAELEWANO MOU WA MRADI WA UFUAJI WA GESI NA BANDARI YA UVUVI MPIGA DURI UNGUJA NA MKOANO PEMBA.

MUFTI Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na (kushoto) Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Fedha na Mipango Mhe.Jamal Kassim Ali na (kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdalla Juma Mabodi na Mwananasheria Mkuu Dk. Mwinyi Talib Haji, wakifuatilia hatuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza baada ya kumalizika kwa Utiaji wa Saini ya Maelewano (MOU) Mpango Mkuu wa Upembuzi yakinifu juu ya Ujenzi wa Bandari Shirikishi ya Uvuvi katika eneo la Mpiga Duri Unguja na Mkoani Pemba pamoja na Mradi wa Ufuaji wa Umeme wa Nishati ya Gesi, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisisitiza jambo wakati akizungumza katika wa hafla ya utiaji wa Saini ya Maelewano (MOU) Mpango Mkuu wa Upembuzi yakinifu juu ya ujenzi wa Bandari Shirikishi ya Uvuvi katika eneo la Mpiga Duri na Mkoani Pemba na Mradi wa Ufuaji wa Umeme wa Nishati ya Gesi Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla, Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe.Zuberi Ali Maulid, Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.Omar Othman Makungu na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.wamsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani ) akihutubia katika hafla ya utiaji wa Saini ya Maelewano (MOU) Mpango Mkuu wa Upembuzi yakinifu juu ya ujenzi wa Bandari Shirikishi ya Uvuvi katika eneo la Mpiga Duri na Mkoani Pemba na Mradi wa Ufuaji wa Umeme wa Nishati ya Gesi Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akishuhudia utiaji wa Saini ya Maelewano (MOU) Mradi wa Ufuaji wa Umeme kwa Nishati ya Gesi, (kulia kwa Rais) Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tangen Bw. Allan Kesseler na kwa upande wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar umesainiwa na Katibu Mkuu Wizara Maji Nishati na Madini Zanzibar Dkt. Mngereza Mzee Miraji (kushoto kwa Rais) hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
BAADHI ya Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakifuatilia hafla ya Utiaji wa Saini ya Maelewano (MOU) kuhusu Mpango Mkuu wa Upembuzi yakinifu juu ya Ujenzi wa Bandari Shirikishi ya Uvuvi katika eneo la Mpiga Duri Unguja na Mkoani Pemba na Mradi wa Ufuaji wa Umeme wa Nishati ya Gesi Zanzibar. hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 3-2-2021.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza wakati wa hafla ya utiaji wa Saini ya Maelewano (MOU) Mpango Mkuu wa Upembuzi yakinifu juu ya ujenzi wa Bandari Shirikishi ya Uvuvi katika eneo la Mpiga Duri na Mkoani Pemba na Mradi wa Ufuaji wa Umeme wa Nishati ya Gesi Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
MKURUGENZI Mtendaji wa Kampuni Tangen Bw. Allan Kessler akizungumza na kutowa maelezo kabla ya Utiaji wa Saini ya Maelewano (MOU) kuhusu Mradi wa Ufuaji wa Umeme wa Nishati ya Gesi Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu) MWAKILISHI wa Kampuni ya Tangen & Intertorco Bw. Michael Angaga akitowa maekezo ya Mradi wa Ujenzi wa Bandari ya Uvuvi Mpiga Duri Unguja na Mkoani Pemba, wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake