Monday, February 1, 2021

THELUJI YA DOMDOKA PWANI YA AMERIKA MASHARIKI

Theluji iliyodondokasiku ya Jumapili Januari 31, 2021 katika majimbo yaliyopo pwani ya Marekabi ya Mashariki kuanzia inchi 8 mpaka 22 na kusababisha watuamiaji wa vyombo vya moto kuwa na wakati mgumu huku wengine wakiathirikakwa kukosa umememajumbani kwao.
Baadhi ya barabara zikionekana namna hii
Mdau akisafisha barabara nje ya nyumba yake.


No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake