Lil Ommy alikuwa ni mtangazaji pekee kutoka Afrika Mashariki kuwania tuzo hizo katika kipengele cha Best Radio Personality mwaka huu this na kuibuka mshindi, Pia alitunukiwa tuzo kubwa ya heshima ya LifeTime Achievement Award, kwa mchango wake mkubwa kwenye kukuza na kutangaza Muziki, Wasanii, Utamaduni wa Afrika kwa lugha ya Kiswahili.
“Asante sana Zikomo Awards kwa Tuzo hizi, Asante sana Mungu, familia yangu, mashabiki kwa kunipigia kura, my team, Wasafi FM. Ushindi huu ni Ushindi wa Tanzania kwa ujumla, Afrika Mashariki, Media, Kiwanda cha Burudani na Sanaa, Asanteni sana. Hii ina maana sana kwangu, Tuzo hizi kwa kila kijana mwenye ndoto popote alipo, jiamini unaweza kuwa kitu chochote duniani.
Kwa Kingereza Lil Ommy asema, “A huge thanks to Zikomo Awards for this award. Am grateful to God, my family, my fans for voting for me and the entire team at Wasafi FM. This award is also a win for my home country Tanzania and East Africa as a whole, the media fraternity, the entertainment sector for whom I am grateful for their support. This award means alot to me and is a testament to all young dreamers that believe in your dreams and you will achieve beyond."
Kufuatia ushindi huu ambao umeiletea heshima kubwa kwenye vyombo vya Habari Afrika Mashariki na hususani Tanzania, April 19, 2021 Lil Ommy alipata mualiko maalum kuhudhiria Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mhe Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa kumpongeza kwa kazi nzuri anayofanya ya kutangaza Muziki, Wasanii, Utamaduni na Lugha ya Kiswahili.
At the moment, Lil Ommy is working at Wasafi FM’s The Switch and The Big Sunday Live TV show on Wasafi TV, in Tanzania. He continues to be celebrated among not only East Africa’s but Africa’s greatest media personalities with the drive and wits to love the industry forward. Lil Ommy has to date won at least four high profile awards including two in New York at the AEAUSA in 2019 and at South Africa’s StarQt Awards (2019).
EDITORS’ NOTES
Lil Ommy is a Certified On Air personality, a voiceover artist, content creator, host, brand influencer and ambassador, Lil Ommy has been consistent in the entertainment industry for over 10 years working with mega brands such as Coca Cola, Audiomack, BancABC, Vodacom, Booking.com and Fly Emirates. The celebrated media personality has an entertainment app “LilOmmyApp” where fans can watch exclusive interviews, stream live and get the latest entertainment juice.
Follow Lil Ommy on social media: Facebook | Twitter | Instagram | YouTube
No comments:
Post a Comment