Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Zanzibar Dk. Abdulla Juma Mabodi, akizungumza katika Kikao Maalum cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Zanzibar, kilichofanyika katika Ofisi za Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar.
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein (wa kwanza kulia) akiongoza kikao, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Hemed Suleiman Abdulla(wa pili kulia) na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Zubeir Ali Maulid(kushoto).
WAJUMBE wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Zanzibar wakiwa katika kikao maalum cha kamati maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar.
No comments:
Post a Comment