Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan na wajumbe wengine wakiwa tayari kuanza kikao cha Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kinachoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho (bara) Ndugu Philip Mangula akisaidiana na Makamu wa Mwenyekiti mwenza (Visiwani) Rais Mstaafu wa Zanzibar Ali Mohamed Shein katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre jijini Dodoma leo Jumatano Aprili 28,
2021.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango, Apiril 28,2021 ameshiriki katika Kikao (Maalum) cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM kilichoketi katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma.
Wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi CCM wakijiandaa kuanza Kikao (Maalum) cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM kilichoketi April 28,2021 katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
No comments:
Post a Comment