ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, May 9, 2021

PICHA YA KUMKABIDHI CHETI M/KITI UWT MAGHARIB

MWANYEKITI wa UWT Mkoa wa Magharib Ndg. Zainab Ali Maulid akikabidhiwa Cheti Maalum cha Ushiriki wa Mafunzo ya kuwajengea uwezo wanawake dhidi ya vitendo vya udhalilishaji na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharib Amina Idd Mabrouk( kushoto) na Mwakilishi Viti Maalum Mkoa huo Fatma Ramadhan Mandoba(kulia), yaliyofanyika katika Skuli ya Sekondari ya Shaah iliyopo Kwa Mchina Mwanzo Zanzibar.
 

No comments: