Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mwenyeji wake Rais wa Kenya Uhuru Muigai Kenyatta wakati akielekea kupanda Ndege kurejea nchini mara baada ya kumaliza ziara yake ya siku mbili Jijini Nairobi nchini Kenya leo tarehe 05 Mei, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimshukuru Rais wa Kenya Uhuru Muigai Kenyatta ambaye aliambatana na viongozi mbalimbali katika Uwanja wa Ndege wa Jomo Kenyatta kumsindikiza mara baada ya kumaliza ziara yake ya siku mbili Jijini Nairobi nchini Kenya leo tarehe 05 Mei, 2021. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment