RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi, alipofika nyumbani kwake Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja kumtembelea na kumjulia hali yake.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, alipofika nyumbani kwake Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja kumtembelea na kumjulia hali yake leo 5-6-2021.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waziri Kiongozi Mstaaf wa Zanzibar Mhe. Shamsi Vuai Nahodha alipofika nyumbani kwake Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja kumtembelea na kumjulia hali yake.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Waziri Kiongozi Mstaaf wa Zanzibar Mhe.Shamsi Vuai Nahodha alipofika nyumbani kwake chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja kumjulia hali leo 5/6/2021.(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment