ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya leo Juni 4, 2021 majira ya saa saba mchana amefikishwa kwenye mahakama ya hakimu mkazi Arusha akiwa na wenzake watano.
Sabaya na watuhumiwa wenzake wakiwa wamechuchumaa kabla ya kuingizwa kwenye mahabusu ya mahakama ya Sekei
Sabaya akishuka kwenye gari iliyomleta mahakamani akiwa amefungwa pingu
Gari iliyokuwa imewabeba Sabaya na watuhumiwa wenzake watano ikiwasili mahakamani
No comments:
Post a Comment