Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Saharawi, Mhe. Mahayub Mahafud alipomtembelea leo Septemba 28, 2021 Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Saharawi, Mhe. Mahayub Mahafud alipomtembelea leo Septemba 28, 20201 Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) katika picha ya pamoja na Balozi wa Jamhuri ya Saharawi, Mhe. Mahayub Mahafud alipomtembelea leo Septemba 28, 20201 Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE
No comments:
Post a Comment