Advertisements

Saturday, November 27, 2021

ANGALIA SAFARI YA MWISHO YA MPENDWA WETU JOSEPH CHACHA NGOCHO KUTOKA COLUMBUS, OHIO

Unaweza fuatilia Chacha Ngocho’s Memorial in Columbus LIVE STREAM siku ya Jumamosi Nov 27, 2021, memorial itakua LIVE kuanzia saa 2 asubuhi (8am/ 7 C/ 5 P kwa saa za USA. UK 1 pm, EUR 2 pm
Tanzania itakua 4pm)

No comments: