Mwanamitandao ya kijamii maarufu nchini na duniani Nicholas Reynolds maarufu kama Bongozozo ambaye ana mtandao mpaka unaojumuisha mabloger mbalimbali wa kimataifa wanaofikia watu zaidi ya milioni 100 duniani, ameahidi mbele ya Waziri wa Utalii Mohammed Mchengerwa na Katibu Mkuu, Dkt. Hassan Abbasi, jijini Arusha leo, kuwa atatumia ipasavyo ushawishi wake duniani kuutangaza utalii wa Tanzania.
No comments:
Post a Comment