ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, June 22, 2023

MAKAMU WA RAIS AFANYA MAZUNGUMZO NA MKUU WA USAID


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango na Mkuu wa Shirika la Misaada la Marekani (USAID) Balozi Samantha Power wakizungumza na Vyombo vya Habari katika Hoteli ya Gran Melia Jijini Arusha leo tarehe 22 Juni 2023.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na Mkuu wa Shirika la Misaada la Marekani (USAID) Balozi Samantha Power, mazungumzo yaliofanyika katika Hoteli ya Gran Melia Jijini Arusha leo tarehe 22 Juni 2023.

No comments: