ANGALIA LIVE NEWS

Friday, June 23, 2023

MAKAMU WA RAIS AZINDUA MFUMO WA M-MAMA ARUSHA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na viongozi mbalimbali wakati akiwasili katika Hospitali ya Mount Meru kuzindua Mfumo wa Kurahisisha Usafiri wa Dharura kwa Mama Wajawazito na Watoto wachanga wa M- Mama kwa Mkoa wa Arusha

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa na Mkuu wa Shirika la Misaada la Marekani (USAID) Balozi Samantha Power wakimsikiliza Anna Kalanju mkazi wa Mbuguni mkoani Arusha aliyetumia mfumo wa M-Mama katika kupata huduma ya kujifungua wakati wa uzinduzi wa Mfumo wa Kurahisisha Usafiri wa Dharura kwa Mama Wajawazito na Watoto wachanga wa M- Mama kwa Mkoa wa Arusha uliofanyika katika Hospitali ya Mount Meru
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa na Mkuu wa Shirika la Misaada la Marekani (USAID) Balozi Samantha Power (wa kwanza kulia) katika picha ya pamoja na watumiaji wa Mfumo Mfumo wa Kurahisisha Usafiri wa Dharura kwa Mama Wajawazito na Watoto wachanga wa M- Mama kwa Mkoa wa Arusha akiwemo Nesi, Mama aliyejifungua pamoja na Dereva wakati wa Uzinduzi wa Mfumo huo kwa Mkoa wa Arusha
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akihutubia wakati wa Uzinduzi wa Mfumo wa Kurahisisha Usafiri wa Dharura kwa Mama Wajawazito na Watoto wachanga wa M- Mama kwa Mkoa wa Arusha uliofanyika katika Hospitali ya Mount Meru.

No comments: