ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, June 14, 2023

RAIS SAMIA AELEKEA BUSISI KUKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA DARAJA LA KIGONGO-BUSISI



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wananchi wa Buhongwa Wilaya ya Nyamagana Mkoani Mwanza alipokuwa njiani akielekea Busisi kwa ajili ya kukagua Maendeleo ya Ujenzi wa Daraja la Kigongo-Busisi, tarehe 14 Juni, 2023. 

No comments: