ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, June 15, 2023

RAIS SAMIA AKUTANA NA WASHAURI WAKE WA MASUALA YA SIASA NA JAMII


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumza na Washauri wake aliowatea hivi karibuni washauri hao ni wa mambo ya Siasa na Uhusiano wa Jamii, Mhe. Abdallah Bulembo, Mhe. Haji Omar Kheir, Mhe. Rajab Luhwavi na Mhe. William Lukuvi mara baada ya kuwaapisha Mkoani Dodoma tarehe 15 Juni, 2023.

No comments: