ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, June 13, 2023

RAIS SAMIA ATEMBELEA KITUO CHA UTAMADUNI NA MAKUMBUSHO YA WASUKUMA BUJORA PIA AHUDHURIA TAMASHA LA BULABO MKOANI MWANZA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Amos Makalla mara baada ya kuwasili katika Kituo cha Utamaduni na Makumbusho ya Wasukuma Bujora, Magu Mkoani Mwanza tarehe 13 Juni, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo na Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana mara baada ya kuwasili katika Kituo cha Utamaduni na Makumbusho ya Wasukuma Bujora, Magu Mkoani Mwanza tarehe 13 Juni, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu akisaini Kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika Kituo cha Utamaduni na Makumbusho ya Wasukuma Bujora, Magu Mkoani Mwanza tarehe 13 Juni, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu akimsikiliza Askofu Mkuu Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza Renatus Nkwande kuhusu Kituo cha Utamaduni na Makumbusho ya Wasukuma Bujora mara baada ya kuwasili katika Kituo cha Utamaduni na Makumbusho ya Wasukuma Bujora, Magu Mkoani Mwanza tarehe 13 Juni, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu akimsikiliza Ndugu Richard Raphael Bulluma Mhifadhi wa Makumbusho ya Wasukuma Bujora kuhusu masuala mbalimbali ya Kabila la Wasukuma na maeneo waliokuwa wakiishi pamoja na shughuli mbalimbali walizokuwa wakizifanya wakati akitembelea Kituo cha Utamaduni na Makumbusho ya Wasukuma Bujora, Magu Mkoani Mwanza tarehe 13 Juni, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu na akiwa amekaa kwenye kiti cha Kifalme cha Watemi wa Kisukuma katika Kituo cha Utamaduni na Makumbusho ya Wasukuma Bujora, Magu Mkoani Mwanza tarehe 13 Juni, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu akitembelea Kituo cha Utamaduni na Makumbusho ya Wasukuma Bujora, Magu Mkoani Mwanza tarehe 13 Juni, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu akizungumza na Machifu mara baada ya kutembelea Kituo cha Utamaduni na Makumbusho ya Wasukuma Bujora, Magu Mkoani Mwanza tarehe 13 Juni, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu akiwasalimia viongozi mbalimbali wakati akiwasili katika viwanja vya Red Cross, Ngomeni Kisesa kwa ajili ya kushiriki Tamasha la Bulabo, Magu Mkoani Mwanza tarehe 13 Juni, 2023.

No comments: