ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, January 18, 2024

NAIBU WAZIRI DAVID KIHENZILE ATEMBELEA BANDA LA MAMLAKA YA MAFUNZO YA AMALI ZANZIBAR (VTA) MAONESHO YA MIAKA 60 YA MAPINDUZI


Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile akisikiliza maelezo kutoka kwa Mwalimu wa Fani ya Useremala  kutoka Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Zanzibar (VTA)  Abdallah Mohamed Ali
alipotembelea banda la Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Zanzibar (VTA) kwenye Maonesho ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Fumba, Zanzibar.
Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile akisaini kitabu katika  banda la Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Zanzibar (VTA) kwenye Maonesho ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Fumba, Zanzibar.
Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile akipokea zawadi kutoka kwa Mwalimu wa Fani ya Useremala  kutoka Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Zanzibar (VTA)  Abdallah Mohamed Ali
pamoja na kupiga picha ya pamoja mara baada ya kutembelea Banda la Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Zanzibar (VTA) kwenye Maonesho ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Fumba, Zanzibar.

No comments: