Advertisements

Saturday, February 24, 2024

MAKAMU WA RAIS AZINDUA UUZAJI WA HATIFUNGANI KWAAJILI MRADI WA MAJI TANGA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizindua Uuzaji wa Hatifungani kwaajili ya Fedha za Mradi wa Kuboresha Miundombinu ya Maji Tanga hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa Regal Naivera Jijini Tanga

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akionesha kitabu cha muongozo wa Hatifungani ya Kijani ya Mamlaka ya Maji Tanga wakati wa uzinduzi wa Uuzaji wa Hatifungani kwaajili ya Fedha za Mradi wa Kuboresha Miundombinu ya Maji Tanga uliyofanyika katika Ukumbi wa Regal Naivera Jijini Tanga.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akishuhudia makabidhiano ya idhini ya uuzaji wa Hatifungani iliyotolewa na Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) kwa Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Tanga wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Uuzaji wa Hatifungani kwaajili ya Fedha za Mradi wa Kuboresha Miundombinu ya Maji Tanga.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akihutubia wakati wa Uzinduzi wa Uuzaji wa Hatifungani kwaajili ya Fedha za Mradi wa Kuboresha Miundombinu ya Maji Tanga uliyofanyika katika Ukumbi wa Regal Naivera Jijini Tanga

No comments: